0:00 / ???
  1. Nyorosha Song
Your price

Nyorosha Song

Track download

Please choose a price: $ USD ($0.99 or more)

Please pay at least $0.99

or close

Lyrics

Lyrics
Pre Hook
Hey baby, you drive me crazy,
Hey, I need you to love me my baby to turn me on
Verse 1
Alfajiri ninaamka, ninapiga tizi kuweka mwili fiti
Chali anakam keja iko safi
Aka kaboy nakaumia vako
Maisha ni kuishi kimangoto my friend
Nimecheki boy nika like,
Sasa ni kumwita, kusuka, kuvuta , and then operation inbox
C’mon all I need is mitigation baby
Mimi ni rapper na bonge la haga
Sitasleki coz nimecheki Shimei hapa ameiva men
Nina machungu nipe tamu tamu,
Iko nini manze mbona we mgamu
Hata mimi nasema
HOOK
Me nataka uninyoroshe na unafanya nini
Me nataka unipepete na unanyeta nini
Njoo, njoo, njoo, njoo
Verse 2
Maumivu tele nisugulie mgongo
Hapo ni sawa lakini shukisha mkono
A girl toto is in the festive mood
Usipaze sauti sasa unaniudhi
Sa cheki majirani wananihoji
Washaanza kunipigia hodi
Yet mimi nalipa kodi nduru zako men zinanichomea picha
Nishakukataza uwache makelele
Ukitaka piga nduru enda kengeles,
Ubaya wako unamea pembe, ukiendelea hivyo nitakuacha na pepe
Kasarani kuna burudani, hiyo mchezo ni kama tsunami
Ikiingia ni kama msumari, me ni mnoma utadhani ni mswati
HOOK
Me nataka uninyoroshe na unafanya nini
Me nataka unipepete na unanyeta nini
Njoo, njoo, njoo, njoo
Verse 3
We hunijui unaniona kwa suti, ukinikasirisha nitakudunga mkuki
Kisha sweetie nakupapasa, nakudaradara ni ka ninawashwa
We acha unanichezea shere, unanionjesha kisha una ah!
Kama ni hivyo sitaki kucheza yet baby usiku nilikesha
Kwanza jana dirisha hukufunga, isije kuwa tulichunguliwa
Mchumba akijua manze nitachujwa
Ukinisema eh nitakukana, ama labda nitakutukana
But kwa sasa maliza ulichoanza na uharakishe tusike tukapatwa
Na uharakishe tusije tukapatwa
HOOK
Me nataka uninyoroshe na unafanya nini
Me nataka unipepete na unanyeta nini
Njoo, njoo, njoo, njoo
Bridge
Nimesema sana hadi nina hisi kiu
Hey baby si unigawie picanna
Unanuna nini we bado kijana
Hujaskia ati me ni dame noma