0:00 / ???
  1. Kupe
Your price

Kupe

Track download

Please choose a price: $ USD ($0.99 or more)

Please pay at least $0.99

or close

Lyrics

Pre Hook
Hahaha! sawa,
Yeah Shimei, am back!
Jesse on this!
eh yeah, uh,
Hii ni kwa wale ma kupe wadindiaji
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 4
Verse 1
Malkia wa nguvu zinga la jike a.k.a dame noma
Kwa halali niite Shimei, hamnielwi silemewi
Ni mimi dame mmoja mjanja eh, nashika radar faster we,
Nime, nime, gundua, ma-boy wamekua wadindiaji manze
Si wote lakini wengi wao, wame form tabia ya kuomba
Tena kuomba, tena kuomba, manze kupe!!
Si kwa ubaya ma-boy nawapenda lakini wengine wenu wanachoma picha
I need a man who can understand
Me nina pesa lakini niña phobia ya watu wa hasara
Hapana taka chali dindiaji, na ka hujaskia narudia tena
Hapana taka chali dindiaji
HOOK
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 2
Hii ni kwa wale makupe wadindiaji
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 2
Verse 2
Najua me ni sonko, lakini haimaanishi, dame ka mimi
Coz nina dough, unanifuata nikupe lunch, nikupe rent, nikupe fare,
Tena kidogo unataka kwenda out, Kupe!
Me si sugar mummy, me ni dame noma, me ni msanii
But at the same time me ni white collar, me ni baller, dollar, shillingi ya Kenya
Lakini wewe usinidindie eh!
Shimei mwenyewe ninasema, cheki, lenga, tusi kupe!
HOOK
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 2
Hii ni kwa wale makupe, wadindiaji
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 2
Verse 3
Uchumi ni noma na me ni mnoma
Kwa hivyo ni lazima nilenge kupe
Ukiniona songa mbali, ala, songa mbali,
Akiomba omba, kupe! Shida haziishi, kupe! akibangaiza, kupe,
Ukichoka naye mtupe!
Well, ukweli nishawapa madame jo, kaendi chonjo
I hope so, nimewafungua macho,
Ma-boy nao, style up,
Jaribuni ku keep up,
If you can’t then, just give up,
eh give up,
wee shut up!
HOOK
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 2
Hii ni kwa wale makupe wadindiaji
Cheki kupe kupe kupe kupe kupe kupe kupe x 2
Yeah Shimei!!